Basi
la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa
likitoka Musoma kuelekea Kilari Mkoani Mara likiwa limeumia vibaya sana
baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA
COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba,Mjini
Musoma leo mchan.
Watu 36 wamepoteza maisha papo hapo na wengine
kujeruhiwa vibaya sana.Kwa mujibu
↧