Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka na ambaye
hajafahamika jina lake, jana asubuhi amechomwa moto hadi kufa akidaiwa
kuiba baiskeli maeneo ya Nane Nane mjini Morogoro, jirani na shule ya
Sekondari ya Alfa James ambayo ni maarufu kama Shule ya Father Pekupeku.
”Jana majira ya saa moja asubuhi tumeona vijana wanne wakimfukuza mwenzao,
walipofika hapa kwenye mabweni ya shule ya Alfa,
↧