Staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungua
kinywa chake na kusema mpenzi wake wa sasa, Nuh Mziwanda ndiye
anayemtibu vizuri kunako ‘sita kwa sita’ japokuwa watu wengi wamekuwa
wakiudharau mwili wake.
Akizungumza na mwandishi wetu bila kung’ata maneno, Shilole alisema
wengi wanashindwa kujua kwamba mtu anaweza kuwa na mwanaume mwenye umbo
kubwa lakini akawa hayajui mapenzi
↧