Sakata la waraka wa Mkakati wa Mabadiliko uliosababisha kuvuliwa
vyeo ndani ya Chadema kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe
limeibuka kwa sura mpya, safari hii likimkwamisha Ofisa wa Sera na
Utafiti wa chama hicho makao makuu, Mwita Waitara kuwania uongozi.
Waitara amekumbana na kigingi hicho hivi karibuni
katika uchaguzi wa chama hicho Mkoa wa Mara baada ya kuwekewa
↧