Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Bosi Aliyembaka Mfanyakazi wa Ndani ( Hausigeli) Afungwa Jela Miaka 30

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemhukumu kwenda jela miaka 30 mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Mbwawa Steven Solomon (29) kwa kosa la kumbaka mfanyakazi wake wa nyumbani mwenye umri wa miaka 16.   Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa mahakama hiyo, Harieth Mwailolo alisema iliridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na upande wa chini ya mwendesha mashitaka Salim Msemo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>