Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Hassan Suleiman (23) mkazi wa Kitunda, kwa kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mtoto wa miaka mitatu kwa kumchezea sehemu zake za siri kwa vidole.
Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassani Juma alisema kuwa mshitakiwa huyo atatumikia kifungo hicho iwe fundisho kwa wengine.
Pia Mahakama hiyo imefikia
↧