Mkazi wa Kijiji cha Bupu wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Forodesi Ntabegera (30) ameuawa kwa kubakwa, kisha kunyongwa na watu wasiojulikana, kisha mwili wake kutupwa kichakani.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Athuman Mwambalaswa alieleza kuwa Ntabegera alinyongwa na watu hao kwa kutumia kitenge chake alichovaa.
Mwambalaswa alisema Septemba 9 mwaka huu saa 8:00 mchana wakazi
↧