Kwa ufupi tu ni kwamba Tume ya vyuo vikuu TCU imetangaza kwamba Wanafunzi
wapatao elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania
wamekosa nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya walichagua
sehemu zenye ushindani mkubwa na wamekosa nafasi sababu alama zao
zilikua ndogo.
TCU wametoa maelekezo mengi na wanasema nafasi bado zipo tena ni nyingi tu kuliko
↧