Hatimaye Jaji Thokozile Masipa ametoa maamuzi juu ya
kesi iliyokuwa inamkabili mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar
Pistorius na kutupilia mbali madai kuwa aliua kwa kukusudia.
Baada ya muda mrefu na mgumu wa muenendo wa kesi hiyo, jaji huyo
ameamuru kuwa Pistorious hana hatia katika mashtaka yote yaliyokuwa
yanamkabili.
Jaji Masipa ameeleza kuwa upande wa mashitaka umeshindwa
↧