MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia nchini (TCD), Bw. John Cheyo, amesema mchakato wa kupata Katiba Mpya, utamalizwa kwa kura za maoni ya wananchi hivyo Rais Jakaya Kikwete, hawezi kutoa tamko la kuahirisha Bunge hilo kwa kuwa vikao hivyo vinafanyika kisheria.
Alisema kitakachoahirishwa ni mchakato wa kura za maoni ya wananchi si Bunge hilo
↧