Baada ya kufanya maonyesho ya kuvutia katika zaidi ya mikoa sita nchini, Serengeti Fiesta inaendelea Ijumaa hii mjini Shinyanga.
Onyesho la Serengeti Fiesta mjini humo lilipaswa kufanyika Septemba 6
mwaka huu kwenye Uwanja wa Kambarage, lakini likaahirishwa kutokana na
ajali mbaya iliyotokea mkoani Mara ikihusisha magari matatu.
Wakazi
wengi wa Shinyanga wamefurahia na kuipongeza
↧