Mkazi wa Kijiji cha Ilogi, wilayani Kahama, Ester Bundala (80), ameuawa
kikatili kwa kuchomwa kisu tumboni na kutolewa utumbo baada ya watu
waliojifanya wagonjwa kwenda nyumbani kwake kuomba msaada wa kuchemshiwa
dawa.
Wauaji hao pia walimchoma bibi huyo kisu sehemu ya moyo, mbavu na mkono wa kulia na kutokomea kusikojulikana.
Mtoto wa bibi huyo, Francis Paulo, akiongea kwa Uchungu
↧