Freeman
Mbowe ameshinda tena nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) Taifa baada ya kupata jumla ya kura 789 huku
mpinzani wake Ngambaranyela Mongatero akipata kura 20.
Mbowe ameshinda nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa chama hicho uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Nafasi ya
Makamu Mwenyekiti Bara imechukuliwa na Prof.
↧