Joseph Haule a.k.a Professor Jay ameachia video zake mbili kwa
mpigo,’Tatu Chafu’ aliyofanya na director Hefemi pamoja na Kipi
Sijasikia iliyoongozwa na Adam Juma.
1.Tatu Chafu
2. Kipi Sijasikia
↧
Video Mpya: Hizi ndo Video mbili Zilizozinduliwa na Profesa Jay Jana.....Tatu Chafu & Kipi Sijasikia
↧