Muigizaji maarufu wa filamu nchini Happy Nyatawe ambaye pia ni mfanyabiashara amewaasa wanawake wenzake kuacha kuwa magolikipa kwa wanaume na pia kuacha umbeya na badala yake wajikite katika kazi ili kujiletea maendeleo.
Akizungumza na Mpekuaji, Happy amesema:
"Nashangaa wanawake ambao mpaka karne hii wanategemea wanaume Kwanini siku moja na wewe mpenzi wako au mumeo asifurahie msaada
↧