Mkali kutoka pande za Mwanza, Young Killer akichana mistari stejini.Ommy Dimpoz akiimba kwa pamoja na mrembo kutoka pande za Geita nyimbo ya ME & YOU. Niki wa Pili akiwakilisha Crew ya Weusi. Mkongwe wa Hip Hop, Fid Q akitiririsha 'vesi' ndani ya Ukumbi wa Desire Park.Chege na Temba wakipagawisha mashabiki stejini. Mzee wa Kula Ujana, 'Nay wa Mitego' akiimba sambamba na mashabiki wake Geita.
↧