Na Salome Kitomary-Nipashe
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametangaza maandamano na migomo isiyokoma nchi nzima
kushinikiza kuvunjwa Bunge Maalumu la Katiba, kwa madai kwamba limekuwa
likitafuna fedha za umma huku wakijua kwamba Katiba haiwezi kupatikana.
Alitangaza hilo wakati akihutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema
unaoendelea jijini
↧