Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Polisi wamevamia ofisi za CHADEMA wilaya ya Morogoro na kuwakamata Viongozi waandamizi Watano wa chama hicho waliokuwa wakijiandaa kuongoza maandamano ya kupinga Bunge Maalumu la Katiba.
Wakati hayo yakijiri, taarifa kutoka Zanzibar zinaarifu kuwa Polisi mjini Magharibi wamepiga marufuku mkutano wa CUF
↧