Mpiga picha na graphic designer anayefanya kazi kwenye kampuni ya
I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa
tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa.
Majina bado yanaendelea kutajwa hivyo tunangoja kufahamu mshiriki wa
pili.
Tumepata bahati ya kukutana na Idris. Ni kijana mwenye vituko sana na
ukikaa naye kwa muda mfupi lazima
↧