Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia kuanguka kwa jengo lililopo
kwenye kanisa la TB Joshua jijini Lagos, Nigeria, imefikia watu 115,
kwa mujibu wa serikali ya Afrika Kusini.
Waziri Jeff Radebe wa Afrika Kusini Jumatatu hii ameitaka serikali ya
Nigeria inayokosolewa vikali kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo. Tukio
hilo lililotokea Sept 12 kwenye eneo la kanisa la mhubiri maarufu
↧