Mariah Carey anadaiwa kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na muongozaji
wa filamu, Brett Ratner baada ya ndoa yake na Nick Cannon kuvunjika.
Muimbaji huyo, 44 anadaiwa kuwa karibu na muongozaji huyo, 45, kumsaidia kusahau kuachana na Nick waliyedumu kwa miaka sita.
Carey na Ratner walianza kuwa marafiki baada ya muongozaji huyo kuongoza
video za nyimbo zake Heartbreaker na We Belong
↧