Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian wameingia rasmi kwenye
msululu wa mastaa wa Marekani ambao picha zao za utupu zimevuja
mtandaoni.
Mapema Jumapili ya jana picha mbili za utupu za Rihanna zilivuja
kwenye mitandao ya 4chan/Reddit. Weekend hii picha za mastaa wengine
wakiwemo Kim Kardashian, Vanessa Hudgens, Kate Bosworth na Hope Solo
nazo zilivuja.
Muigizaji wa filamu,
↧