Jiji
la Arusha jana lilikumbwa na taharuki kufuatia askari polisi kuzingira
barabara na maeneo kadhaa ya jiji hilo baada ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) kutangaza kuendelea na maandamano hayo licha ya
kuzuiwa na polisi.
Hata hivyo, maandamano hayo yaliyopangwa kupinga kuendelea kwa Bunge Maalumu la Katiba, mjini Dodoma, hayakufanyika.
Chadema jana ilitangaza kufanyika
↧