Ni siku nyingine wajukuu zangu yenye baraka na neema, kwasababu
tumekutana tena na kujadili mambo mazuri, lengo likiwa kufahamishana na
kuelekezana mambo mema.
Kama utakuwa mwerevu kama yule rafiki yako au
zaidi ya yeye utakuwa umesoma kichwa cha habari hapo juu na kutambua
mada yetu ya leo.
Kama hujaelewa usijali nitakufafanulia kwa kina, ili uweze kuelewa nini nataka tujadili
↧