Kwa kawaida mwanaume ameumbwa kuwa na matiti madogo, ugonjwa wa
wanaume kuwa na matiti makubwa kama wanawake huleta usumbufu hasa wa
kisaikologia kwa mwanume husika.
Kuna hatua au makundi matatu katika ukuaji wa
kawaida kwa mwanaume ambapo huweza kuwa na matiti makubwa na baadaye
huisha na kurudi kuwa ya kawaida.
Kundi la kwanza ni mtoto mchanga wa kiume, ambapo
karibu asilimia
↧