Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Kundi la
Chamber Squad na ngoma yake ya taifa ya Kama Vipi, Moses Bushagama ‘Mez
B’ anadaiwa kuwaaibisha ma-miss kwa kuwalazimisha kupiga nao picha
wakiwa watupu.
Tukio hilo la kidhalilishaji na lisilovumilika lilijiri juzikati
kwenye Ufukwe wa Mikadi uliopo Kigamboni jijini Dar muda mfupi baada ya
jamaa huyo ‘kushuti’ video ya
↧