Jeshi la Magereza Tanzania Bara linatangaza nafasi za Mafunzo ya
Awali ya Askari Magereza yatakayoendeshwa Chuo cha Magereza Kiwira
Tukuyu Mbeya. Waombaji wa nafasi hizo wanatakiwa kuwa na sifa
zifuatazo:-
MASHARTI YA KUAJIRIWA:
1. JINSI: Mvulana au Msichana ambaye hajawahi kuoa
au kuolewa na asiwe na mtoto
2. URAIA: Awe Raia wa Tanzania Bara
3. UMRI:
(a)
↧