Na Kelvin Matandiko-Mwananchi
Kwa miaka mingi, jamii za Kiafrika zilikuwa na mazoea
yaliyojengewa msingi katika mila na utamaduni kupitia ulimbwende wa
kunogesha vazi kwa ladha ya shanga.
Waafrika walikuwa wakitumia vazi hilo kama sehemu ya kuongeza hadhi zao au kuashiria ufahari hususani katika familia za machifu.
Kadri siku zinavyoenda mambo yamekuwa
yakibadilika. Kwani mtindo
↧