Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Video: Pastor aliyewalisha majani waumini wake, sasa awanywesha petroli kwa madai kuwa itageuka kuwa Juisi ya Nanasi

$
0
0
Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa anawanywesha petrol.   Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani kwa kuwaagiza wafuasi wake kula majani kama wanyama kwa madai kuwa binadamu wanaweza kula chochote kilichotoka kwa Mungu.   Kitendo hicho kiliwaacha waumini wengi wakitapika na kuharisha.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>