Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia
ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba
maandishi yasemayo "Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa kuwa
kijana wako sasa ni balozi wa application mpya iitwayo Mziiki"
Hii ni application ambayo itatumiwa na watu wenye simu za androad
kusikiliza muziki.Huu ndiyo muonekano wake
↧