Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba jana ilikabidhi
bungeni Rasimu ya Katiba inayopendekezwa ikiwa na ibara 289 kulinganisha
na 271 za Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Joseph
Warioba.
Rasimu hiyo pia ina sura mpya mbili ambazo ni
Mamlaka na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na nyingine inayohusu Ardhi,
Maliasili na Mazingira.
Akiwasilisha rasimu hiyo,
↧