Tume
ya vyuo vikuu nchini Tanzania imesitisha udahili wa wanafunzi wapya
katika chuo kikuu cha IMTU kwa mwaka wa masomo 2014/15 na kukipa muda wa
miezi 3 chuo hiko kurekebisha kasoro zinazojitokeza mara kwa mara
ikiwemo kudahili wanafunzi wengi.
Akizungumza
na Waandishi wa habari Jijini Dar es salaam leo Kaimu katibu mtendaji
wa Tume ya Vyuo Vikuu Prof. Magishi Mgasa
↧