Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Majaji Augustine Mwarija,
Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi wake leo kufuatia
maombi ya Saed Kubenea kama ifuatavyo;
1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la
Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka
ya Bunge
↧