Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) limetangaza maandamano
kwenda Ikulu kumuomba Rais Jakaya Kikwete asikubali kutia saini Rasimu
ya Katiba inayopendekezwa iwapo itapitishwa na Bunge.
Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee alisema jana
kwamba maandamano hayo yatafanyika mwishoni mwa wiki ijayo, baada ya
maandalizi yatakayofanyika kwa siku saba kuanzia jana kukamilika.
Mdee
↧