Siku tatu kabla ya Bunge la Katiba kuanza kupigia kura Rasimu ya
Katiba inayopendekezwa, watu wasiojulikana wameanza kusambaza vitisho
vya kuwatia hofu wajumbe wa Bunge hilo.
Watu hao wamesambaza vipeperushi katika maeneo
mbalimbali ya mji wa Dodoma usiku wa kuamkia jana, wakiwataka wajumbe
kutoingia bungeni vinginevyo yatakayowapata watajuta, huku wajumbe
kutoka Zanzibar
↧