Staa
wa filamu hapa Bongo, Vicent Kigosi ama Ray kwa jina maarufu, ametoa
angalizo juu ya kuibuka kwa wingi Watayarishaji wa Filamu ambao
wamekuwa hawazingatii viwango vya ubora wa kazi na hivyo kuharibu soko
la sanaa hiyo.
Ray
akiwa kama msanii mwenye mafanikio tayari, amesema kuwa, sanaa hiyo
inaendelea kukuwa isipokuwa, Watayarishaji filamu hawa wameongezeka sana
na kuna
↧