Wachumba wa muda mrefu, staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus
Ndauka na Malick Bandawe ambao maisha yao ya kimapenzi yamekuwa
yakitawaliwa na msuguano wa chini kwa chini, hatimaye wameachana.
Chanzo cha uhakika
kimesema kuwa wachumba hao ambao walivalishana pete kwa mbwembwe
miaka mitatu iliyopita huku wakipika na kupakua lakini wamekuwa katika
mzozo wa muda mrefu wa kifamilia,
↧