Wiki ya kufa au kupona kwa Bunge la Katiba, inaanza leo mjini
Dodoma wakati wajumbe watakapoanza kuzipigia kura ibara na sura za
Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Shughuli hiyo itaanza huku kukiwa na hofu ya
kutopatikana kwa theluthi mbili ya kura kwa wajumbe kutoka Tanzania Bara
na theluthi mbili ya wajumbe kutoka Zanzibar inayotakiwa kwa mujibu wa
kanuni, sheria na Katiba ya nchi
↧