Serikali
imesema haina mpango wa kuvifungia vyombo vya habari yakiwamo magazeti
badala yake itaendelea kuvionya vinavyokiuka maadili.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia,
alisema hayo jana kufuatia gazeti la NIPASHE kuandikiwa barua na ofisi
ya Msajili wa Magazeti, kutaka lijieleze baada ya kuchapicha habari
kuhusu Bunge la Katiba jinsi linavyotumia
↧