KANISA Anglikana linakabiliwa na shinikizo la kutakiwa kulegeza masharti ya sheria zake ili wachungaji waweze kuripoti uhalifu wanaousikia kutoka kwa waumini wao wanaoungama. Utaratibu huo umeshaanza kutekelezwa na Kanisa Anglikana Australia ambalo limeruhusu wachungaji kuripoti polisi uhalifu uliobainika wakati wa maungamo ya waumini.
Askofu wa zamani wa kanisa hilo, Dayosisi ya
↧