Jeshi
la Polisi mkoani Ruvuma linawasaka watu wasiofahamika wanaotuhumiwa
kuingia msikitini na kuiba jeneza, Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma.
Baada ya kuiba jeneza hilo, watu hao wanadaiwa kwenda nyumbani kwa Afisa
Mtendaji wa Kijiji cha Kitanda, wilayani humo, Fidea Mbawala (30) na
kuliweka mlangoni, likiwa limesheheni matofali.
Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Mihayo Msikhela,
↧