Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi
wa mtaa wa Kitangiri jijini Mwanza amenaswa ‘live’ gesti akiwa na mke wa
kigogo mmoja (jina kapuni), aitwaye Mwanaidi wakijiandaa kuvunja amri
ya sita.
Tukio hilo lilijiri Septemba 18, mwaka huu kwenye gesti moja maarufu
iliyoko mitaa ya Kitangiri baada ya kigogo huyo kupewa ‘ubuyu’ kwamba
anaibiwa mali yake ndipo
↧