Marubani wa ndege za kivita za Iraqi zilizokuwa na maji,
vyakula na misaada mingine ya kibinadamu zimesambaza mahitaji hayo kwa
maadui zao wa kundi la Islamic States badala ya kuwapa wanajeshi wao.
Kwa mujibu wa NBC mmoja kati ya wabunge wa Iraqi ambaye pia ni afisa
wa ngazi za juu za usalama, Hakim Al-Zamili ameeleza kuwa kutokuwa na
uzoefu wa kutosha kwa marubani hao kumewafanya
↧