Tanzania
imetajwa kushika nafasi ya 92 katika orodha ya nchi zenye idadi kubwa
ya wazee kati ya nchi 96 duniani huku takwimu za taasisi ya Helpage
International zikionyesha kuwa ifikapo mwaka 2050 idadi ya wazee
itakuwa sawa na ya watoto.
Akiongea
jijini Dar es salaam wakati Tanzania imejumuika na nchi nyingine
duniani kuadhimisha siku ya wazee Mkurugenzi wa Taasisi ya Helpage
↧