Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete ametaja hatua saba ambazo Serikali yake imeanza kuzichukua ama
inakusudia kuzichukua ili kukabiliana na msongamano wa magari katika
Jiji la Dar Es Salaam.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa msongamano wa magari ni ishara ya
ubora wa maisha ya wananchi na ustawi wa Watanzania kwa sababu miaka 20
ama hata 10
↧