ACT-TANZANIA
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPERANCY
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu wanahabari kumekuwa na utaratibu wa habari zinazoupotosha umma wa Watanzania kuhusu chama chetu cha ACT-Tanzania.
Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika
ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA
KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA".
Act-Tanzania
↧