(Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro.)
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linachunguza tukio la askari wake (jina tunalo), iwapo alimtorosha na kumweka kinyumba mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Okaoni, wilayani Moshi Vijijini.
Askari huyo anatuhumiwa kumrubuni mwanafunzi huyo kuwa atamnunulia magauni mawili, blauzi mbili, sketi mbili pamoja na kiasi cha Sh
↧