Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana
alimchimba mkwara mkewe Margareth Sitta kuwa angepata tabu sana kama
angekosea kupiga kura.
Mbali na Uenyekiti wa Bunge la Katiba, Sitta ni
Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
Mashariki na mkewe Margareth ni Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) na Mjumbe
wa Bunge la Katiba.
↧