UNAWEZA kudhani ni Hekaya za Kusadikika! Lakini ni kisa cha kweli kwamba mama mzazi amemshitaki polisi mwanawe wa kiume, ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16, kwa kile anachodai amechoshwa na tabia ya mwanawe ya kufanya mapenzi na nguruwe wao jike mara kwa mara na hata kujikuta akiacha shule.
Amelalamika akidai kuwa kijana huyo amenogewa `penzi’ la mnyama huyo
↧