Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba waliopiga kura za hapana
wamelazimika kuondoka Dodoma na kurudi Zanzibar kwa madai ya vitisho
walivyopata kutoka kwa wenzao.
Mmoja wa wajumbe hao, Salma Said alisema jana
jioni kuwa yeye na wajumbe wenzake wamekataa kuitikia wito wa Mwenyekiti
wa Bunge, Samuel Sitta kwenye Kamati ya Mashauriano ili kuhojiwa kuhusu
kura hiyo na kutokana na
↧